Jamani Harmo yuuuuuuuuleee.... Huyu mtu kimzahamzaha anapata tu airtime. Sielewi hata ilikuwaje akawa hapo kwa muda huo lakini ndo anakiki mwenzenu. Naona alienda kumsapoti Homeboy wa Mtwara. Wasanii hebu fuateni nyayo za Harmo!!