Baada ya jumapili iliyopita kuweka wazi cheti cha matokeo ya Makonda na hujuma zake za kumtumia dada kupotosha umma,Dr.Gwajima pamoja na mahubiri,kesho ataendelea kuwafunulia watanzania. Kesho ataweka wazi cheti cha Paul Christian mwenyewe ambacho ni cheti alichokitumia Makonda kupatia elimu ya chuo
25 Machi 2017
Home
dakafasta
Habari
News
Udaku
Ni Mlipuko..Huu Ndio Mchezo Atakao Ufanya Gwajima Kesho Jumapili Kuhusu Makonda na Vyeti Vyake vya Elimu...!!!