Muonekano Mpya wa Mbunge Halima Mdee Wazua Utata huku Instagram, wengine wanadai kama Mh Mbunge afai kuvaa hivyo kama binti wa miaka 18, Wengine wanamsifia kapendeza
Binafsi namuona katolezea poa sana, sasa sijui mnaotokwa mapovu mlitaka avae dela au?