NEWS

18 Aprili 2017

WIKIPEDIA Waidhalilisha Timu ya Simba Sc...

Ukipitia ukurasa wa Wikipedia na ukatafuta maelezo kuhusu Club ya Simba basi wameelezea kuwa Simba Official Nick Name  yao ni Wamatopeni

Ukurasa huo wa kujuza watu mambo unasomeka hivi:


Wamatopeni Mpo?