NEWS

30 Septemba 2017

Global Tv Online: Usikose Kutazama Shevola Sehemu ya Tano leo saa 2.30 Mchana

GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA au pengine haukubahatika kabisa kuitazama, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha utamu.

Filamu hii ilitesa sana kupitia Star TV, huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia SHEVOLA yenye kisa kizito cha binti aliyeibuka na kuwachanganya akili walinzi wa Mfalme.

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

WAHUSIKA WAKUU NI: Aisha Katabazi, Ahmadhaman Masusuli, Juma Masanja, Moses William, Sala Kalisa, Sebastian Joseph na Titus Joseph. Producer: Abbas Saad Kibiki, Executive Producer: Kibiki Entertainment, Director: Abbas Saad Kibiki, Editor: Marcel Asimwe, Cameraman: Hamis Mwema.

SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

The post Global Tv Online: Usikose Kutazama Shevola Sehemu ya Tano leo saa 2.30 Mchana appeared first on Global Publishers.