NEWS

4 Novemba 2017

Live: Tamthiliya ya Shevola – Part 16


GLOBAL TV GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu.

Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA au pengine haukubahatika kabisa kuitazama, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha utamu.

 

Filamu hii ilitesa sana kupitia Star TV, huu ni wakati wako sasa wa kufuatilia SHEVOLA yenye kisa kizito cha binti aliyeibuka na kuwachanganya akili walinzi wa Mfalme.

 

Ni moja Kati ya filamu bora na iliyopendwa na wafuatiliaji wa Shindano la TMT (Tanzania Movie Talents) 2015. Utaifuatilia kwa muda wako kupitia simu yako ya mkononi, kila siku ya JUMAMOSI NA JUMAPILI hapa hapa GLOBAL TV Online.

 

WAHUSIKA WAKUU NI: Aisha Katabazi, Ahmadhaman Masusuli, Juma Masanja, Moses William, Sala Kalisa, Sebastian Joseph na Titus Joseph.

Producer: Abbas Saad Kibiki,

Executive Producer: Kibiki Entertainment,

Director: Abbas Saad Kibiki,

Editor: Marcel Asimwe,

Cameraman: Hamis Mwema.

Wachambuzi wa kipindi hiki wanachambua muonekano wa ligi hizi kwa kipindi cha nyuma huku wakilinganisha na kipindi cha sasa

The post Live: Tamthiliya ya Shevola – Part 16 appeared first on Global Publishers.