Mgombea ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu.
MGOMBEA ubunge wa Chadema Kinondoni, Salum Mwalimu amekamatwa na polisi kituo cha kupigia kura cha Idrisa Kata ya Magomeni. Akizungumza na Global TV Online mchana huu Msemaji wa Chadema, Tumaini Makene amethibitisha kukamatwa kwa mgombea huyo.
The post Breaking News: Salum Mwalimu Akamatwa na Polisi appeared first on Global Publishers.