NEWS

26 Februari 2018

Breaking News: Sugu, Masonga Wahukumiwa Jela kwa Kumkashifu JPM

Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga wamehukumiwa kifungo cha miezi mitano jela kila mmoja baada ya kukutwa na hatia kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanbzania, Dkt. John Magufuli.

 

The post Breaking News: Sugu, Masonga Wahukumiwa Jela kwa Kumkashifu JPM appeared first on Global Publishers.