NDANI ya miaka kadhaa iliyopita kumekuwa kukiibuka kampuni nyingi zinazojihusisha na masuala ya michezo ya kubashiri, miongoni mwa kampuni hizo ni Sokabet ambayo ndani ya kipindi kifupi imeweza kufanya mambo mengi makubwa na kuwa chaguo la watu wengi.
Michezo hii ya kubashiri ambayo inashirikisha raia yeyote ambaye ana umri wa kuanzia miaka 18 inaweza kuwa na faida kubwa kwa mashirika pindi anapopata bahati ya kufanikiwa kushinda bahati yake.
Championi Ijumaa limepata nafasi ya kutembelea na kuzungumza na Meneja Usimamizi wa Sokabet, Lusekelo Mwandenene ambaye anafunguka mengi kuhusu huduma zao na jinsi ambavyo raia wa kawaida wanavyoweza kuneemeka kutokana na kubashiri.
UFAFANUZI…
“Tunashukuru ndani ya muda mfupi huduma zetu zimekuwa kipenzi cha Watanzania wengi, kuna watu wengi wanabashiri ndani ya Sokabet kupitia njia mbalimbali, zaidi tunapata wateja kupitia simu na tovuti.
“Tumerahisisha huduma zetu kwa kuwapelekea wateja wetu ambao wanaweza kubashiri hata kama simu zao hazina huduma ya internet, pia kila wiki tunaweka mezani shilingi milioni 100 ambayo mtu yeyote anaweza kushinda pindi atakapopatia matokeo katika Jackpot.
BUKU TU INAONDOA UMASIKINI
“Kwa kiwango cha shilingi 1,000 tu mtu anaweza kushiriki Jackpot na kushinda kiwango hicho cha milioni 100, ambapo bila shaka mtu wa kawaida akikipata anakuwa ameondoka katika umasikini.
“Tunajua hicho ni kiwango kikubwa cha fedha, hivyo tuna wataalamu wa saikolojia ambao kazi yao kubwa ni kuwapa darasa la jinsi ya kutumia fedha hizo kwa mshindi, kwani tunatambua kuwa mtu ukiwa huna kitu kisha ukapata fedha nyingi ghafla ni rahisi kupata hofu au ‘mawenge’ na ukashindwa kutumia fedha.
SOKABET INAVYOBADILI MAISHA YAKO
“Kupata fedha nyingi kwa wakati mmoja ni rahisi kubadili maisha yako mfano unaweza kupata fedha ya kulipa kodi ya nyumba, kodi ya biashara, kununua au kujenga nyumba, kulipia matibabu ya afya na mambo mengine mengi.
“Mbali na Jackpot pia kuna fedha nyingine ndogondogo ambazo mshiriki anaweza kuzipata na zikamnufaisha katika maisha yetu ya kila siku, mfano milioni tano, nne, moja na nyinginezo, jambo zuri ni kuwa katika Sokabet mshiriki anaweza kuanza kubeti kwa kuanzia shilingi 200 tu,” anasema.
JINSI YA KUJIUNGA NA SOKABET
Baada ya mazungumzo hayo, Lusekelo akatoa maelezo ambayo mshiriki anaweza kujiandikisha kubeti kupitia tovuti yao:
- Fungua tovuti ya Sokabet ambayo ni www.sokabet. co.tz iwe ni katika simu, kompyuta au kifaa chochote kilichounganishwa na internet.
- Jiandikishe kwa kubonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, utatumiwa namba ya siri kwa SMS (kama umeshajiandikisha huu mchakato haukuhusu, utaanzia namba 3).
- Bonyeza ‘LOGIN’, andika namba ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, ikikubali utakuwa umefungua akaunti yako.
- Ingiza fedha kwa M-Pesa, piga piga *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kumbukumbu ambayo ni neno ‘Champ’. Weka kiasi unachotaka, mfano Sh 1,000 au 5,000, kisha ingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.
- Ingiza fedha kwa Tigo Pesa, piga namba *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, ingiza kiasi cha fedha, andika neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigo Pesa.
- Ingiza fedha kwa Airtel Money, piga *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, weka kiasi cha fedha, ingiza kumbukumbu namba (ingiza neno ‘Sokabet’) kisha namba yako ya siri ya Airtel money.
- Ukitatizika unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kupitia namba 0654705555 pia ukifungua tovuti yao utakutana na wahudumu wao muda wote, ambapo kulia kwako utaona neno ‘online’, bonyeza hapo uanze kuchati na watoa huduma.
- MICHEZO MINGI
Lusekelo anasema, ndani ya Sokabeti siyo soka tu bali kuna michezo mingi ambayo mshiriki anaweza kubashiri, baadhi ni American Football, baseball, kikapu, kriketi, gofu, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, tenisi, volleyball na ndondi.
UNAVYOWEZA KUPATA SH 100M
Anasema hapa mshiriki anatakiwa kubeti mechi 13 tu kwa shilingi 1,000 lakini kuna mechi tatu za ziada ambazo zinawekwa ili zijumuishwe katika orodha hiyo kwa dharura endapo itatokea kati ya zile 13 za awali kuna ambayo haikufanyika au haikumalizika, lakini zote zikichezwa bila tatizo, basi hazitaathiri zile 13 ambazo ndizo muhimu.
Lusekelo anaongeza kuwa ikitokea mshiriki amekosea kutabiri baadhi ya mechi bado anaweza kupata nafasi ya kujishindia mamilioni ya fedha :
TUMIA SIMU KUINGIZA MAMILIONI
Baada ya kujua jinsi ya kujiunga na kuanza kutumia huduma za Sokabet kupitia tovuti, pia mtumiaji anaweza kutumia simu ya mkononi kupata huduma.
MFUMO WA USSD
Kutumia mfumo wa USSD mtumiaji anatakiwa kubonyeza namba *148*89# kisha apige na kuendelea kupata huduma. Ukishafungua utakutana na ujumbe wa ‘Karibu Sokabet’ kisha utapewa orodha hii:
TUMIA SMS KUBET
K u p i t i a u j u m b e mfupi wa maandishi yaani SMS pia unaweza kujiunga au k u b e t kupitia Tigo, Airtel na Vodacom. Unachotakiwa ni kutumia n a m b a 1 5 8 0 0 . I n g i a ndani ya sehemu ya kuandika SMS k a tika simu yako kisha una w e z a kufanya h a y a y a f u a – tayo:
KUBET MECHI MOJA (SINGLE BET)
Mfano: Arsenal Washinde
Andika Neno Bet <AchaNafasi>Code ya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800
MFANO: Bet 28983#2*1000 TUMA KWENDA 15800
Kumbuka namba 2 hapo inamaanisha timu ya ugenini ndiyo itakayoshinda, namba moja ya nyumbani ndiyo itashinda, kama ni sare unaweka X. Namba 28983 ni code namba am
bayo inapatikana kwenye tovuti ya Sokabet au gazeti kuhusu mchezo husika (mfano tazama ukurasa wa 9).
KUBET MECHI ZAIDI YA MOJA (MULTIPLE BET)
Bet<AchaNafasi>CodeyaMechi>Ub ashiri+CodeyaMechi>Ubashiri+Codeya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800
Mfano: Arsenal + Chelsea + Liverpool
Bet 28983#2+28916#1+29911#X*1000 KISHA TUMA KWENDA 15800
Muhimu: Kama mteja ana ofa ya freebet ya kawaida ambayo siyo ya Jackpot akihitaji kuitumia ataanza na neno FB na kuendelea na mpangilio kama kawaida.
MFANO FB 28983#2+28916#1+29911#X*1000
NB: UNAPOWEKA BET UNAACHA NAFASI MOJA TU UNAPOKUWA UMEANDIKA BET/FB UNAPOENDELEA USIACHE NAFASI*
TUMIA 15800 KUBET
Unaweza kuitumia namba 15800 kupata huduma nyingine kadhaa mfano kama umesahau PIN yako ya akaunti, kuangalia salio na mengine mengi:
PIN = Tuma neno PIN tuma kwenda 15800
SALIO = Tuma neno SALIO kwenda 15800
KUJIUNGA = Kujiunga na sokabet tuma neno SOKABET kwenda 15800
TOA = Kutoa pesa kutoka akaunti yako ya Sokabet andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15800 MFANO: Toa 2000
JACKPOT BET
JP = kucheza Jackpot andika neno Jp acha nafasi kisha weka bashiri za jackpot
mfano Jp 12121212XXX1212*1000 TUMA KWENDA 15800
FJP = Kama mteja ana freebet ya jackpot na anataka kuitumia ataanza na neno
FJP 12211122112XX1X1*1000 TUMA KWENDA 15800
LISTJP = Kupata orodha ya michezo ya Jackpot uliyocheza andika LISTJP na TUMA KWENDA 15800
SOKABET INARUDISHA KWA JAMII
Katikati ya mwaka 2017, Sokabet iliingia mkataba wa mwaka mmoja na Klabu ya Majimaji inayoshiriki Ligi Kuu Bara, mkataba huo ulikuwa ni wa Sh milioni 150.
Mkataba huo ulikuwa sehemu ya Sokabet kurejesha katika jamii kile inachokipata mbali ya kulipa kodi za kawaida za serikali na kutoa ajira kwa Watanzania wengi.
WANUFAIKA NA MAMILIONI
Frank Chodaus ambaye ni mkazi wa Mikumi mkoani Morogoro ni mmoja waliowahi kunufaika na Sokabet baada ya kushinda milioni 2 kwa kubeti kwa Sh 1,000 tu aliposhiriki katika Jackpot.
UDHAMINI WA BEACH SOKA
Sokabet pia ilipata nafasi ya kudhamini michuano ya Ligi ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ iliyofanyika kwenye Ufukwe wa Coco jijini Dar es Salaam kwa kushirikisha timu za vyuo vikuu.
MECHI FEDHA UTAKAZOPATA
13 Sh 100,000,000
12 Sh 2,500,000
11 Sh 1,000,000
10 Sh 500,000
9 Atashiriki bure Jackpot inayofuata
- Bet na Odds za mpira
- Jackpot Bets
- Weka pesa
- Toa pesa
- Salio
- Mkeka
- Msaada
- Jisajili
The post BUKU TU, SHIMO LINATEMA Mil. 100, 000, 000 appeared first on Global Publishers.