NEWS

23 Februari 2018

Ibada ya Kuaga Mwili wa Akwilina Kanisa la Mt. Theresia, Rombo

Mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini tayari umeshawasili katika Kanisa la Mtakatifu Theresia Parokia ya Olele Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro na ibada ya kuaga mwili wa marehemu inaendelea.

 

Baada ya ibada hiyo ndugu, jamaa, viongozi na watu wa kada mbalimbali watatoa heshima za mwisho na kisha mwili kupelekwa nyumbani kwa ajili ya mazishi yatakayoanza saa saba mchana.

The post Ibada ya Kuaga Mwili wa Akwilina Kanisa la Mt. Theresia, Rombo appeared first on Global Publishers.