NEWS

22 Februari 2018

Live Updates Kutoka Muhimbili: Kuagwa kwa Mwili wa Akwilina

NDUGU, jamaa, marafiki na Watanzania wengine wamejitokeza katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya kuuchukua mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini ambaye ataagwa leo katika viwanja vya chuo hicho.

Taswira halisi inaonyesha ndugu wakifanya maandalizi ya kuchukua mwili wa Akwilina na kabla ya kuupeleka NIT ambako utaagwa na baadaye nyumbani kwao Mbezi kisha kusafirishwa kwenda Rombo kuzikwa.

The post Live Updates Kutoka Muhimbili: Kuagwa kwa Mwili wa Akwilina appeared first on Global Publishers.