NEWS

22 Februari 2018

Msajili wa Vyama vya Siasa Awaandikia Chadema Barua Kuwata Wajieleze

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amekiandikia barua Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) akitaka kijieleza kwa nini asikichukulie hatua kwa kufanya maandamano Februari 16, 2018.
Chadema waliandamana Februari 16 mwaka huu wakishinikiza kupewa viapo vya mawakala wao kabla ya uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni.

The post Msajili wa Vyama vya Siasa Awaandikia Chadema Barua Kuwata Wajieleze appeared first on Global Publishers.