NEWS

22 Februari 2018

Spoti Hausi Live: Bocco Atangazwa Kuwa Mfungaji Bora VPL

Spoti Hausi itafanyika leo saa 10:00 jioni ambapo wachambuzi wako watazungumzia mambo mbalimbali kutokana na mbio za ubingwa Tanzania Bara, mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara, faida ya ujio wa rais wa Fifa nchini Tanzania.

 

Lakini watachambua pia na kugundua kwanini wachezaji wengi wa Yanga ndiyo wanapata majeraha mara kwa mara? Na mambo mengine mengi, Usikose.

The post Spoti Hausi Live: Bocco Atangazwa Kuwa Mfungaji Bora VPL appeared first on Global Publishers.