NEWS

28 Februari 2018

TRA Yasitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha Kati ya Tanzania na DRC

 

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) imetangaza kusitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha kati ya Tanzania na Jamhuri ya Kidekrasia ya Congo kuanzia tarehe Machi 1, 2018.

Utaratibu huo ulikuwa ukihusisha usafirishaji wa bidhaa kama mafuta ya vyombo vya moto na kula, ngano, unga wa mahindi, na magari kupitia boda ya Tunduma. Bidhaa hizo sasa zitatolewa na kusafirishwa kupitia Bandari ya Dar es Salaam kwa kutumia utaratibu wa kawaida.

The post TRA Yasitisha Utaratibu wa Utawala wa Forodha Kati ya Tanzania na DRC appeared first on Global Publishers.