NEWS

22 Februari 2018

Vilio na Simanzi Mwili wa Akwilina Ukichukuliwa Muhimbili

Ndugu wakifarijiana.

VILIO na simanzi vimetawala wakati wa kuchukua mwili wa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwilini aliyeuawa kwa kupigwa risasi Feb 16, 2018.

Mwili wa Akwilina umechukuliwa leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kupelekwa NIT k wa ajili ya kuagwa kabla ya kupelekwa nyumbani kwao Rombo kwa mazishi.

 

 

Gari lenya mwili wa marehemu.

 

PICHA NA DENIS MTIMA | GPL

LIVE: MWILI WA ‘AKWILINA’ UKICHUKULIWA MUHIMBILI (VIDEO)

The post Vilio na Simanzi Mwili wa Akwilina Ukichukuliwa Muhimbili appeared first on Global Publishers.