NEWS

28 Februari 2018

Zitto Afunguka Kuhusu Mwandishi wa Mwananchi Aliyepotea...Adai Gazeti Litoe Habari Aliyotuma Kabla ya Kupotea

Ameandika haya Kupitia ukurasa wake wa Facebook:

'Siku ya 100 leo mwandishi Azory Gwanda hajulikani alipo. Umefika muda Mwafaka Gazeti la Mwananchi lichapishe Habari ambayo Azory aliituma chumba cha Habari kabla ya kutekwa na kupotezwa.' Zitto Kabwe