
Kipindi cha Spoti Hausi leo kitakuletea sehemu kubwa ya maandalizi ya michezo ya kimataifa ya Simba na Yanga.
Je, unajua safu ya ulinzi ya Simba itaongozwa na nani keshokutwa?
Je, unafahamu nani karejea kwenye kikosi cha Yanga?
Je, ni kweli kuwa Thabani Kamusoko atacheza mchezo huu?
Je, vipi kuhusu mchezaji bora wa mwezi uliopita Papy Kabamba Tshishimbi? Nini kimetokea kwake? Usikose kufuatilia kipindi hiki leo Alhamisi, Machi 15, 2018 jioni ufahamu pia kile kilichowakumba maofisa habari wa Simba na Yanga, Haji Manara na Dismas Ten.
Pia mshindi wa Shindano la #BeatsbyDre kutoka Gazeti la #SpotiXtra linalotoka kila Jumapili atapatikana leo kwenye Kipindi cha #SpotiHausi SAA 10:00 jioni kupitia #GlobalTVOnline usaikose kutazama.
The post SPOTI HAUSI: Simba Yamtema Manara, Yanga Yamuacha Ten appeared first on Global Publishers.