NEWS

13 Juni 2018

Breaking News: Moto mkubwa Waibuka Kariakoo

Moto mkubwa umeibuka Kariakoo katika Mtaa wa Livingstone na Aggrey na unaendelea kuteketeza maduka. Tayari vikosi vya zimamoto vipo eneo la tukio kupambana na moto huo unaoendelea kuteketeza jengo la ghorofa ambalo lina maduka katika ghorofa ya chini.

The post Breaking News: Moto mkubwa Waibuka Kariakoo appeared first on Global Publishers.