NEWS

13 Juni 2018

MTOLEA: Tusidanganyane, Dodoma Siyo Jiji, Hauna Vigezo – Video

Mbunge wa jimbo la Temeke (CUF), Abdallah Mtolea amedai licha ya Rais Magufuli kutangaza kuupandisha hadhi Mji wa Dodoma na kuwa Jiji, lakini  bado hauna vigezo vya kuwa jiji.

 

Mtolea amesema hayo Bungeni Jijini Dodoma na kudai kwamba ipo haja ya Wabunge hususani wanaouwakilisha mkoa wa Dodoma kuishinikiza serikali kutenga fedha kwa ajili ya kukarabati miundombinu ya Dodoma iweze kuwa na vigezo vya kuwa Jiji.

The post MTOLEA: Tusidanganyane, Dodoma Siyo Jiji, Hauna Vigezo – Video appeared first on Global Publishers.