NEWS

12 Juni 2018

Wanandoa Meghan, Prince Harry Kufanya Ziara ya Kwanza

First post-wedding tour of Meghan Markle & Prince Harry announced | BellaNaija

WANANDOA wa jamii ya kifalme ya Uingereza  (Duke and Duchess of Sussex) kati ya mwanamfalme, Prince Harry na Meghan Markle,  wanategemea kuanza ziara yao ya kwanza nchi za nje baada ya kufunga ndoa hivi karibuni.

Makao ya kifalme,  Kensington Palace, yametoa habari hizo kwenye mtandao wa Twitter, kwamba wanandoa hao watatembelea nchi za Australia, Fiji, Tonga, na  New Zealand mwaka huu.

 

 

The post Wanandoa Meghan, Prince Harry Kufanya Ziara ya Kwanza appeared first on Global Publishers.