
WANAWAKE wawili wakazi wa jiji la Dar es Salaam, Beatrice Jackson juzi Jumatatu waliibua mshangao kwa kupandiswa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni baada ya kunaswa na Polisi kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha.
Wanawake hao walipandiswa kizimbani mbele ya Hakimu Boniface Lihamwike, ambaye aliwasomea shtaka hilo japo waote walikana shitaka hilo.
FUATILIA SAKATA HILO HAPA
The post Wanawake Wanaswa kwa Tuhuma za Ujambazi – VIDEO appeared first on Global Publishers.