NEWS

22 Agosti 2018

Akili The Brain Aibuka Upya na ‘Mashallah’

Mwanamuziki pekee wa Bongo Fleva mwenye asili ya Kiasia, Akili the Brain ameibuka upya nawimbo wa ‘Mashallah’ baada ya kuwa kimya kwa miaka 11.

Msanii huyo anasema huu ndio mwanzo wa kurudi kileleni na tayari ana ngoma zingine nne zitazoka hivi karibuni pamoja na video. Kusikiliza wimbo wake wa ‘Mashallah’ pakua kwa kubonyeza HAPA

The post Akili The Brain Aibuka Upya na ‘Mashallah’ appeared first on Global Publishers.