NEWS

16 Agosti 2018

BEAUTY & STYLES: MR Blue Kaja na Mavazi Yake “Sishindani na DIAMOND” -Video

Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue.

Msanii wa Bongo Fleva, Mr Blue kwa sasa ameamua kugeukia shughuli za ujasiriamali kwa kuanzisha mavazi yake yenye logo yake ya ‘Micharazo’.

 

Mr Blue ametambulisha Brand yake hiyo kupitia Global Tv kwenye kipindi cha Beauty & Styles, pamoja na kuelezea kuhusiana na kila kinachoendelea kwenye harakati zake za muziki.

 

Nick N JOY HOME DECORATIONS ni WADHAMINI WA kipindi hiki, ambao wamechanganua mada ya Console table kama pambo la nyumba na jinsi gani linaleta Mvuto na Faraja kwenye Famiia.

 

DAGE SCHOOL OF HAIR & DRESSING SALOON ni Wadhamini pia wa Beauty and Styles kwa ‘Make up’ zao Kali na Huduma zao Bomba na pia wanachuo kizuri kwa ajili ya urembo.

The post BEAUTY & STYLES: MR Blue Kaja na Mavazi Yake “Sishindani na DIAMOND” -Video appeared first on Global Publishers.