Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kwamba Hoteli ya White Sands and Beach Resort iliyopo jijini Dar es Salaam inawaka moto muda huu. Kwa taarifa zaidi endelea kufuatilia #GlobalHabariUpdares kupitia mitandao yetu.
The post Breaking News: Hotel ya White Sand Yawaka Moto appeared first on Global Publishers.