NEWS

16 Agosti 2018

Hamisa Mobetto “Sijaonana na Lulu Toka Atoke Jela, Yupo Kwenye Maisha ya Mtoto Wangu Nitaruhusu Amlee

Mwanamitindo Hamisa Mobetto amejibu baadhi ya maswali aliyohojiwa na Ayo TV ikiwemo swala la kuonana na muigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu baada ya kutoka gerezani huku ikiwa Lulu anasemekana kuwa mapenzini na mwanaume aliyezaa na Hamisa mtoto wa kwanza.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Hamisa Mobetto akiyajibu yote.