NEWS

23 Agosti 2018

Mabasi Mawili ya Wanafunzi Yagongana, Dereva Afariki

Muonekano wa Shule ya Kivulini.

Mabasi mawili ya wanafunzi Shule ya Kivulini na Shule ya Nyamunge yamengana uso kwa uso katika Barabara ya Mwanza – Simiyu katika eneo la Nane nane mkoani Mwanza na kusababisha kifo cha dereva na kujeruhiwa wanafunzi wanane wa shule hizo.

Majeruhi na wamekimbizwa katika Kituo cha Afya Buzuruga.

The post Mabasi Mawili ya Wanafunzi Yagongana, Dereva Afariki appeared first on Global Publishers.