WAKATI akiwa kwenye sintofahamu na management yake ya WCB, msanii wa Bongo Fleva, Rich Mavoko ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Ndegele’ ikiwa ni video yake ya kwanza toka aingie kwenye mgogoro na lebo hiyo aliyofanya nayo kazi kwa miaka miwili.
Kutazama video hiyo, Ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC
The post Rich Mavoko Aachia Video Yake Mpya – Ndegele appeared first on Global Publishers.