NEWS

20 Agosti 2018

Ronaldo, Modric, Salah Kuwania Mchezaji Bora, Messi, Mbappe Waenguliwa

Shirikisho la soka barani Ulaya limetangaza majina ya Nyota wanaoshindania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ulaya #UEFA kwa mwaka 2017/2018 ambao ni Cristiano Ronaldo wa Juventus, Luka Modric wa Real Madrid na Mohammed Salah wa Liverpool.

Hii ni baada ya kufanya mchujo wa wachezaji 10 kati ya hao ni washindi wa Kombe la Dunia mwaka huu,

Wengine walioingia 10 Bora ni;

4 Antoine Griezmann (Atlético & France) – 72 points
5 Lionel Messi (Barcelona & Argentina) – 55 points
6 Kylian Mbappé (Paris & France) – 43 points
7 Kevin De Bruyne (Manchester City & Belgium) – 28 points
8 Raphaël Varane (Real Madrid & France) – 23 points
9 Eden Hazard (Chelsea & Belgium) – 15 points
10 Sergio Ramos (Real Madrid & Spain) – 12 points.

The post Ronaldo, Modric, Salah Kuwania Mchezaji Bora, Messi, Mbappe Waenguliwa appeared first on Global Publishers.