NEWS

24 Agosti 2018

Sakata Lake WCB, Rich Mavoko Akinukisha BASATA – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Rich Mavoko amegeuka mbogo mbele ya waandishi wahabari baada ya kugoma kuzungumza kuhusu nini kinaendelea kwenye mazungumzo yake na uongozi wa Kampuni ya WCB ambako amekuwa akifanya kazi.

RICH MAVOKO Akinukisha/ Akosa Majibu Ishu Yake na Diamond

The post Sakata Lake WCB, Rich Mavoko Akinukisha BASATA – Video appeared first on Global Publishers.