NEWS

20 Agosti 2018

SHILOLE AANIKA MJENGO WAKE

MSANII wa Bongo Fleva, Zuwema Mohammed, “Shilole” ameamua kutuonyesha mjengo wake ambao uko kwenye hatua za finishing ili aweze kuhamia na kuanza kuishi humo.

Shilole amesema nyumba hiyo ameijenga kutokana na pesa alizokuwa akidunduliza kwenye kazi yake ya upishi ‘Mama Ntilie’.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Shilole ameandika;

 

The post SHILOLE AANIKA MJENGO WAKE appeared first on Global Publishers.