NEWS

15 Agosti 2018

Steve Nyerere Aongelea Kuhusu Post Aliyosema Ndoa ya Wema Sepetu Inakuja Hivi Karibuni

Steve Nyerere amezungumza na Ayo TV kuhusu post yake ambayo ilizua gumzo mtandaoni baada ya kupost picha ya Wema Sepetu na mwanaume anayefahamika kwa jina la Rahul ya kuwa ndoa ya hao wawili inakaribia. Steve aliweka picha hizo na kuambatanisha na caption iliyosomeka ‘Wedding is Coming soon”.

Ikumbukwe tu Wema Sepetu na Rahul wamekuwa wakidaiwa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi licha ya kwamba wawili hao wamekuwa wakikataa kuthibitisha hilo na hata hivyo Ayo TV iliwai kufanya mahojiano na Rahul ambaye alisema kuwa Wema ni mshikaji wake wakaribu tu na siyo mpenzi wake.

Msikilize STEVE NYERERE akizungumza ni kweli WEMA ANAOLEWA HIVI SOON..? Bonyeza PLAY hapa chini.