NEWS

24 Agosti 2018

Tusua Maisha na Global washindi

Ezbon Bwire, mwakilishi wa Jackson Bwire wa Ukerewe, Mwanza, akiwa amekaa juu ya pikipiki baada ya kukabidhiwa.

Aziz Hashim (kulia), mwakilishi wa kampuni ya Global Publishers akizungumza jambo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi. Pembeni yake ni Glory Lucas kutoka idara ya uhasibu.

Said Katambo (kushoto), akikabidhiwa kadi ya pikipiki aliyoshinda na John Joseph, Mwakilishi wa Kampuni ya SokaBet.

Boniphace Malick (kushoto) wa Bunju, akikabidhiwa zawadi ya dinner set na Jimmy Haroub, Afisa Masoko wa GPL.

Boniphace Malick akizungumza baada ya kukabidhiwa zawadi.

Benard Kapembe (kushoto) akikabidhiwa zawadi ya head phones na Given Mashishanga wa Global TV.

Ezbon Bwire (kushoto) akikabidhiwa kadi ya pikipiki na Glory Lucas wa Idara ya Uhasibu GPL.

Washindi wakiwa katika picha ya pamoja

Said Katambo akitesti mtambo wake

The post Tusua Maisha na Global washindi appeared first on Global Publishers.