Baada ya kukufanyika kwa kikao cha takribani masaa mawili, kati ya Rich Mavoko, Diamond na BASATA, Katibu Mtendaji wa baraza hilo Godfrey Mngereza ametoa kauli yake kuonyesha kuwa wawili hao kwa sasa hakuna tatizo. TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI