Msanii wa muziki kutoka WCB, Harmonize aka Konde Boy amefunguka kuzungumzia mambo mbalimbali kuhusu muziki wake pamoja na maisha yake ambapo pia alipata fursa ya kumzungumzia mpenzi wake Sarah. VIDEO: