NEWS

19 Septemba 2018

BOT Watoa Onyo Kali kwa Wanaodhihaki Pesa za Tanzania

BOT Watoa Onyo Kali kwa Wanaodhidhihaki Pesa za Tanzania
Benki kuu ya Tanzania imewapa onyo kali watanzania wanaodhihaki fedha za Tanzania na kuwataka kuziheshimu kwa kuwa ni moja ya Alama ya Taifa na kuwaambia kuwa kudhihaki na kukejeri noti na sarafu ni kosa la jinai.