Rais wa Jamhuri ya Muungango wa Tanzania Dr John Magufuli amezungumza na Taifa kuhusu ajali ya MV Nyerere ambapo pamoja na kutoa pole kwa wafiwa ametangaza siku 4 za maombolezo kuanzia leo Septemba 21, 2018 Msikilize hapo chini akiongea👇🏼👇🏼