NEWS

24 Septemba 2018

Bushoke awalilia wahanga wa MV Nyerere kwa wimbo huu wenye hisia

Msanii wa muziki Bongo, Bushoke ameachia wimbo kutokana na ajali iliyotokea ya kuzama kwa kivuko cha MV Nyerere mkoani Mwanza. Usikilize hapa.