NEWS

18 Septemba 2018

Diamond Platnumz: Zari Ni Hodari Wa Mapenzi

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na aliyekuwa mpenzi Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.

 

STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amekuwa kivutio kwenye mitandao ya kijamii baada ya kuimba kipande cha wimbo  chenye maneno “Zari hodari wa Mapenzi”.

 

Diamond ambaye alikuwa kwenye mahusiano na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kwa takribani miaka minne mpaka walivyimwagana mapema mwaka huu aameibuka na kusifia ujuzi wa mapenzi wa mama watoto wake huyo.

 

Diamond amesema maneno yake Kupitia kipande cha video Kilichomuonyesha akiimba wimbo mpya wa Msanii kutoka WCB Mbosso uitwao ‘Hodari’ ambapo ndani yake amemtaja Zari kama Hodari wa mapenzi.

The post Diamond Platnumz: Zari Ni Hodari Wa Mapenzi appeared first on Global Publishers.