NEWS

22 Septemba 2018

EXCLUSIVE: MOBETO Amempa MHE JOKATE Laki 5 – Video

Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, ameanza rasmi kampeni yake ya ‘Tokomeza Zero’ kwa kuwachangisha watu mbalimbali fedha na misaada mingine itakayosaidia kutatua matatizo ya wanafunzi wa sekondari zote zilizopo katika wilaya ya Kisarawe na kuwawezesha kusoma katika mazingira mazuri ili ufaulu upande kwa kasi zaidi.

 

Moja kati ya watu waliojitokeza kumuunga mkono, DC Jokate, ni Mwanamitindo, Hamisa Mobeto, ambaye amechangia Shilingi laki tano, Mwanamuziki Malaika pamoja na watu wengine.

EXCLUSIVE: MOBETO Amempa MHE JOKATE Laki 5!

The post EXCLUSIVE: MOBETO Amempa MHE JOKATE Laki 5 – Video appeared first on Global Publishers.