NEWS

22 Septemba 2018

Hatimaye..Maua Sama na Soudy Brown Waachiwa Huru kwa Dhamana ya Mahakama



Wadau na wasanii wenye kutimia idadi yao saba wameachiwa huru kwa dhamana baada ya kushindwa kupelekwa mahakamani leo mpaka hapo jumatatu kwa ajili ya kusikilizwa kwa kesi yao.

wasanii hao ambao walikamatwa kwa kosa la kimtandao na kudharirisha noti ya shilingi elfu 10 , walikamatwa  na kuaa rumande kwa zaidi ya siku nne