NEWS

23 Septemba 2018

JOSHUA AMCHAKAZA KWA TKO POVETKIN RAUNDI YA 7

Mwingereza Anthony Joshua amefanikiwa kuvunja rekodi ya bondia Povetkin raia wa Urusi, kwa kumpiga kwa ‘Technical Knock Out’ round ya saba ya pambano kwenye Uwanja wa Wembley usiku wa kuamkia leo.

 

Kabla ya bondia Alexander Povektin kupoteza pambano hilo dhidi ya Anthony Joshua kwa TKO, ndio linakuwa pambano lake la pili kupoteza katika mapambano 36 aliyocheza akishinda 34, KO 24 huku Joshua akiendelea na rekodi ya kutopigwa.

The post JOSHUA AMCHAKAZA KWA TKO POVETKIN RAUNDI YA 7 appeared first on Global Publishers.