Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiongoza mazishi ya baadhi ya watu waliopoteza maisha katika ajali ya Kivuko cha MV Nyerere iliyozama Septemba 20, 2018.#MVNYERERE
The post LIVE: Waziri Mkuu Akiongoza mazishi Ya Kitaifa Ukara – Ukerewe appeared first on Global Publishers.