NEWS

23 Septemba 2018

MAZISHI: Miili Ya Wapendwa Wetu Waliofariki Ajali ya MV Nyerere Inapumzishwa Muda Huu

Miili ya watu tisa waliofariki kwenye ajali ya Kivuko cha MV Nyerere ndiyo inazikwa muda huu katika eneo la Bwisya kisiwani Ukara.

Kati ya hao tisa, miili ya watu wanne ni ile ambayo haikutambuliwa.