NEWS

19 Septemba 2018

MBOWE: SIACHII UENYEKITI CHADEMA – VIDEO

MWENYEKITI wa Chama cha demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freema Mbowe amesema kamwe hatoachia kiti hicho kwa kusikiliza maneno ya watu wa nje ya chama ambao hata hawakumchagua.

 

Mbowe amesema hayo leo wakati akizungumza na wanahabari jijini dar es Salaam wakati akitoa tathmini ya Chadema kuhusuuchaguzi mdogo wa wabunge na udiwa uliyofanyika Jumapikli iliyopita na CCM kuibuka washindi.

 

“Kuwa ya Uenyekiti wa CHADEMA ni kazi ngumu na ni msalaba, ni kazi isiyo na faida. Walionipa mamlaka ni wanachama wangu wa Chadema, wakinitaka niondoke hata kesho nitaaondoka tena na ntashangilia kabisa na sherehe, lakini siwezi kuondoka kwa kuambiwa na watu waliopo CCM kwamba Mbowe ondoka, siondoki,” amesema Freeman Mbowe.

The post MBOWE: SIACHII UENYEKITI CHADEMA – VIDEO appeared first on Global Publishers.