Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo akiongea jambo na wadau mbalimbali wa Tamwa
Chama cha waandishi wa habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wameandaa majadaliano na wadau kujadili mbinu na mikakati thabiti ya ili kutokomeza vitendo vya ukatili katika hiyo,na majadiliano hayo yamefanyika katika shule ya sekondari Minaki.
Wafanyakazi wa TAMWA wakiwa ofisini kwa Mkuu wa Wilaya Jokate Mwegelo.
Jokate akikabidhiwa zawadi ya khanga na Mkurugenzi wa TAMWA, Edda Sanga (kushoto).
Akizungumza jambo na Eda Sanga.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja nje ya ofisi yao.
Akiwa na kamati mbalimbali ya mkutano huo.

PICHA NA IMELDA MTEMA | GPL
The post Mkuu Wa Wilaya Ya Kisarawe Jokate Aunguna Na TAMWA Kupinga Ukatili Kijinsia appeared first on Global Publishers.