
PETE ya uchumba yenye thamani ya Dola 150,000 (Sh. bilioni 342) kwa Amber Rose kutoka kwa Wiz Khalifa yasemekana imepotea na polisi wanashiriki kuitafuta.
Amber amesema hajaiona pete hiyo tangu mwezi Agosti mwaka huu.
Pete iliyopotea.
Wiz Khalifa alimchumbia kimwana huyo kwa pete hiyo mwaka 2012 ambapo walitengana mwaka 2014.
The post Pete ya Uchumba ya Wiz Khalifa ya Mil. 342 kwa Amber Rose Yapotea appeared first on Global Publishers.