WAKATI Simanzi na majonzi vimetawala kwa Taifa zima kutokana na ajali ya Kivuko cha MV Nyerere kiliyozama jana katika Ziwa Victoria, ndugu Yustus Mziray Majula Mlima ambaye ni mzaliwa wa Kata ya Jang’ombe tarafa ya Ukara amedai kupoteza ndugu zake watano kutokana na ajali hiyo.
The post SIMANZI MV NYERERE: Apoteza Watoto Wawili, Ndugu Watatu – VIDEO appeared first on Global Publishers.