NEWS

23 Septemba 2018

SPOTI XTRA LAENDELEA KUKIMBIZA SOKONI

Ofisa wa Usambazaji wa Magazeti ya Global, Anthony Adam (kulia) akiwaelekeza madereva wa daladala wa Tandika jinsi ya kujishindia zawadi mbalimbali kupitia shindano lililopo kwenye gazeti hilo.

Gazeti jipya na bora la michezo la Spoti Xtra leo limeendelea kukimbiza mitaani ambapo wasomaji kwenye kona mbalimbali za jiji la Dar wameonekana kulichangamkia gazeti hilo.

Maofisa wa Global wakiweka bango la Spoti Xtra kwenye meza ya mmoja wa wauza magazeti wa Tandika Sokoni.

Kikosi cha mauzo na usambazaji leo kilitembelea maeneo ya Buguruni, Temeke Mwisho, Tandika Maguruwe, Mwembe Yanga, Temeke Mikoroshini ambapo sehemu zote hizo walinaswa wasomaji wakiwa bize na Spoti Xtra.

Mmoja wa maofisa wa Global akimuelekeza jambo msomaji huyu aliyekutwa Tandika Mwembe Yanga.

1.Meneja Usambazaji wa Magazeti ya Global, Anthony Adam (kulia) akiwaelekeza madereva wa daladala wa Tandika jinsi ya kujishindia zawadi mbalimbali kupitia shindano lililopo kwenye gazeti hilo.

Wasomaji wa Tandika Davis Corner wakiangalia magazeti mbalimbali likiwemo Spoti Xtra ambalo lilikuwa gumzo kwenye maongezi yao. 

The post SPOTI XTRA LAENDELEA KUKIMBIZA SOKONI appeared first on Global Publishers.