NEWS

18 Septemba 2018

Yusaku Maezawa Awa Abiria wa Kwanza Kwenda Mwezini!

Image result for Yusaku Maezawa

Yusaku Maezawa

Yusaku Maezawa ambaye ni mfanyabiashara na mwendesha shughuli za mitindo, atakuwa abiria wa kwanza kwenda kwenye mwezi.

Mtu huyo ambaye ana utajiri wa Dola bilioni 3 (Sh. trilioni 6.8) atapelekwa mwezini mwaka 2023.

Mhusika wa mradi huo aitwaye Elon, ametoa baadhi ya picha za chombo cha Big Falcon Rocket ambacho kitakuwa kinapeleka watu mwezini.

Big Falcon Rocket.

The post Yusaku Maezawa Awa Abiria wa Kwanza Kwenda Mwezini! appeared first on Global Publishers.