NEWS

26 Oktoba 2018

Hii Hapa Taarifa Rasmi Ya Bodi ya Filamu Kumfungia Wema Sepetu Kutojihusisha na Filamu

Serikali  kupitia Bodi ya Filamu Tanzania leo, Oktoba 26, 2018 imemfungia staa wa Bongo Movies, Wema Sepetu na kumtaka asijihusishe na shughuli za filamu kwa muda usiojulikana, ni baada ya picha zake chafu  akiwa na bwana yake raia wa Burundi kusambaa mitandaoni.

==>>Hapo chini kuna taarifa rasmi toka Bodi ya Filamu nchini